|
|
|
| MAOMBEZI BCIC |
| SHUHUDA MBALIMBALI |
|
| HUDUMA ZA KIJAMII |
| Shule baada ya kumaliza mitihani yake na wanafunzi wa Darasa la nne kufanya mtihani wa Taifa kujiandaa kuingia darasa la tano, sasa wanafunzi wote wameenda likizo katika mapumziko ya kawaida kwa taratibu za shule za Tanzania. Katika matangazo yake katika vyombo vya Habari, ziko nafasi kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la Kwanza, pia kuna nafasi chache katika madarasa mengine. Shule inazingatia darasa kuwa na wanafunzi wachache ili elimu iwe bora (Masomo yote ni Kiingereza isipokuwa somo la Kiswahili tu. kwa mawasiliano zaidi tuma maoni kupitia Email: shalomschool@wapotz.org Shule ipo Kurasini Barabara ya Kilwa nyuma ya Chuo Kikuu cha Polisi. Uliza WAPO Radio, mara moja utafika; Pre_Primary wanapokelewa ili kuwawekea msingi mzuri wa elimu. |
| SHALOM PRE-PRIMAY SCHOOL (Shule inayotumia Kiingereza kufundishia) |
| HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI |
| WAPO MISSION INTERNATIONAL |